Marekani pamekuwa pa moto

halala Marekani hapa kaliki tena..Mie Dutchess nishadakizwa kwamba kuna wabongo wanasakwa na ma F.B.I ..Mhh hao jamaa haijulikani kisa na mkasi kwanini wanasakwa na hao mapolisi but wameweka 10000 reward for anyone who can turn them in..Jamani sasa wabongo watachomeana mpaka basi kama unajijua huna makaratasi jikalie tu nyumbani maake wata make sure mnabanana wengi tu huko bongo….I hope whoever they are waji turn in maake tamaa ya binadamu ni kubwa sana msifanye mtafutwe mapanga na wabeba boxsi wahuko na viji greencard vyao….

2 thoughts on “Marekani pamekuwa pa moto

  1. SO WHY DONT YOU JUST MENTION THEIR NAMES, HIYO SOURCE YAKO KWANINI HAIJAKUPA MAJINA SASA TUTAJUWAJE NI KINA NANI WAKUWATAJA IF YOU DONT PUT THEIR NAMES IN HERE?

  2. DUH I SWEAR AMERICAN DREAM JUST TURNED INTO THE AMERICAN NIGHTMARE NAWAONEA HURUMAAA SANAAA KUTAFUTWA NA FBI NOMA BIG TYM……..OKAY JAMANI WATU WANGEKIMBILIA TU AMSTERDAM AIRPORT STR8 BACK TO BONGO….MANAKE HIII NI SOOOO

Leave a comment